Ukosefu wa kwa huduma ya maji safi na salama mijini na vijijini kunasababisha wananchi wengi kutumia maji yasiyo salama, ambayo ni chanzo cha magonjwa kama kipindupindu.
Kipindi chetu cha Siha Njema kwa jumaa hili kinagazia juu ya uvumbuzio wa teknolojia mpya ya Dr Askwar Hilonga,Chujio maalum la maji ambayo linatumia kuua wadudu na kuondoa chemikali mbali mbali zilizoko kwenye maji.