Gharama ya juu ya vyakula ilivyo tishio la kiafya kwa wengi.
Katika makala haya tunaangalia namna mfumuko wa bei ya vyakula ,vita vya Ukraine inasukuma raia wengi kwenye ukingo wa kupata matatizo ya kiafya yakiwemo magonjwa yasiyoambukizwa.
Hali ngumu ya maisha imezidi kuwapa wengi mtihani wa kuchagua afya au bora shibe.