Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Ni jukwaa la mazungumzo na wanamichezo kuhusu spoti na maisha yao kwa ujumla. Pia inawahusisha viongozi, wakufunzi na wapenzi wa michezo.... more
FAQs about Gumzo na Mwanaspoti:How many episodes does Gumzo na Mwanaspoti have?The podcast currently has 43 episodes available.
May 21, 2021GUMZO NA MWANASPOTI; Makocha wa Kenya walipwe vizuri - si wa kigeni tu, asema Salim AliAliyekuwa kocha wa Klabu ya Mathare United, Salim Ali asema Ligi Kuu ya FKF itaimarika tu iwapo makocha wa Kenya watalipwa vyema na kuhakikishiwa mazingira mazuri ya kufanyia kazi sawa tu na makocha kutoka mataifa ya kigeni. Ameshiriki mazungumzo ya kina na mwanahabari wa Radio Maisha, Walter Kinjo....more17minPlay
May 16, 2021GUMZO NA MWANASPOTI PODCAST; Rotuno Kwonyike - Mimi ni Spoti na Spoti ni MimiMwanahabari wa michezo wa Standard Group, Rotuno Kwonyike anasema kwamba hakuwa na ndoto ya kuwa mwanahabari wa spoti; alivutiwa na wanahabari wa michezo wa KTN News, akaanza kupenda michezo, na sasa hatoki 'hang'oki'. Pia anawashauri wanariadha wa Kenya kutojipa taabu kuzugumza Kiingereza wanapohojiwa...kwamba watumie tu Kiswahili au lugha-mame ili wasijiaibishe kwa kuzungumza Kiingereza kibovu. Vilevile kulingana Rotuno, aina ya mchezo haiendani na uwezo masomoni; ni sauala tu la mtu binafsi. Ameshiriki gumzo na Walter Kinjo kuhusu masuala haya....more23minPlay
April 14, 2021Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Dan Shikanda; Pigo la Corona na Marufuku ya FIFADan Shikanda asikitishwa na mafuruku ya misimu miwili ya kuwasajili wachezaji wapya. Aidha, anazungumzia jinsi korona imerejesha nyuma shughuli za timu yake. Sikiliza mazungumzo ya kina baina ya Shikanda na wanaspoti wetu, Walter Kinjo na Stephen Mukangai....more13minPlay
FAQs about Gumzo na Mwanaspoti:How many episodes does Gumzo na Mwanaspoti have?The podcast currently has 43 episodes available.