Hatari za maendeleo ya saratani ya watoto ulimùwenguni
Shirika la afya duniani,WHO linasema watoto elfu moja, 1000 hupata saratani kila siku duniani,na katika mataifa yanayoendelea,asilimia 20 ya watoto wanaopata saratani wanaweza kuishi au kupona.
Kusikiliza zaidi makala hii ungana na mwandishi wetu wa maswala ya afya Caroline Korir