Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan ... more
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.
March 09, 2024MAZUNGUMZO YA MHE. RAIS SAMIA WAKATI WA KONGAMANO LA NNE LA THE CITIZEN RISING WOMANRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jukwaa la Nne la ‘The Citizen Rising Woman' sanjari na Mazungumzo “Fireside Chat” katika kuadhimisha Miaka mitatu ya Uongozi wake lililofanyika katika Ukumbi wa Super Dome - Masaki jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024...more43minPlay
March 09, 2024MAZUNGUMZO YA MHE. RAIS NA BAKARI MACHUMU WAKATI WA KONGAMANO LA NNE LA RISING WOMANRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jukwaa la Nne la ‘The Citizen Rising Woman' sanjari na Mazungumzo “Fireside Chat” katika kuadhimisha Miaka mitatu ya Uongozi wake lililofanyika katika Ukumbi wa Super Dome - Masaki jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024...more43minPlay
March 02, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA WAKATI WA MAZISHI YA KITAIFA YA HAYATI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI ,TAREHE 02 MACHI ,2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024...more30minPlay
February 26, 2024KIPINDI CHA SONGA NA SAMIA ( EPISODE 0NE-SGR )Huu ni mfululizo wa makala maalum ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati na miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ....more21minPlay
February 25, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA WAKATI WA MAZISHI YA KITAIFA YA HAYATI RAIS HAGE GEINGOB WA NAMIBIA KWENYE VIWANJA VYA MICHEZO VYA UHURU JIJINI WINDHOEK ,TAREHE 24 FEBRUARI ,2024...more4minPlay
February 21, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA AKIZINDUA SANAMU YA MWL. NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA ( AU ),FEBRUARI 18 ,2024...more4minPlay
January 09, 2024HOTUBA YA RAIS SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA ZANZIBAR (ZSTC) KARAFUU HOUSE ,CHAKE CHAKE KISIWANI PEMBA ,JANUARI 09,2024...more31minPlay
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.