Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan ... more
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.
February 01, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 1 Januari, 2025...more32minPlay
January 30, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MCHANA PAMOJA NA WASHIRIKI WA ZOEZI LA UOKOAJI WA AJALI YA KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA ENEO LA KARIAKOORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo la Kariakoo leo tarehe 30 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam....more25minPlay
January 29, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA AFRIKA KUHUSU NISHATIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala ya Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025....more5minPlay
December 31, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN YA KUAGA MWAKA 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa wakati wa kuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025 katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 31 Desemba, 2024...more30minPlay
November 17, 2024MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM....more4minPlay
November 14, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOSHIRIKI KUAGA MWILI WA BW. LAWRENCE NYASEBWA MAFURU ALIYEKUWA KATIKA MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO...more21minPlay
November 01, 2024RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI WAKATI WA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Mkutano huo unaowakutanisha wadau mbalimbali wa kilimo una lengo la kutafuta suluhu ya changamoto ya upatikanaji wa chakula Duniani inayochochewa na mabadiliko ya tabianchi....more11minPlay
October 14, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI MWANZA ,OKTOBA 14,2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati akihitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge ambazo kitaifa zimefanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba tarehe 14 Oktoba, 2024....more34minPlay
October 11, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa kitongoji cha Sokoine wakati wa zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024....more9minPlay
October 04, 2024HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZINDUA TUME YA KUTOA MAPENDEKEZO YA MFUMO WA KODI NCHINI...more28minPlay
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.