Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan ... more
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.
February 24, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KOROGWERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025....more12minPlay
February 24, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO KATIKA MUENDELEZO WA ZIARA YAKE MKOANI TANGARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025....more13minPlay
February 23, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKATA, KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKATA WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA TAREHE 23 FEBRUARI, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025....more19minPlay
February 23, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA HAFLA YA UTOAJI WA TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025....more19minPlay
February 22, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA TATU WA NCHI ZINAZOZALISHA KAHAWA BARANI AFRIKA (THE 3RD G25 AFRICA COFFEE SUMMIT)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025....more36minPlay
February 21, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA PROGRAMU YA MWANAMKE KIONGOZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Februari, 2025....more27minPlay
February 16, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumzia kuhusu masuala ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia....more6minPlay
February 08, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA PAMOJA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA EAC NA SADCRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025....more6minPlay
February 04, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA HAFLA YA KUPOKEA TUZO YA THE GLOBAL GOALKEEPERS AWARDRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya kimataifa ya The Global Goalkeepers Awards...more14minPlay
February 03, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINIRais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma, tarehe 03 Februari, 2025...more25minPlay
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.