Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan ... more
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.
April 28, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA BENKI YA USHIRIKA TANZANIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Tanzania jijini Dodoma...more30minPlay
April 26, 2025MHE. RAIS DKT. SAMIA ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MUUNGANO NA KUZINDUA KITABU CHA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: PHOTOGRAPHIC JOURNEYRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunuku nishani za kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey Ikulu chamwino, Dodoma...more22minPlay
April 23, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA TOLEO LA SHERIA ZILIZOFANYIWA UREKEBU LA MWAKA 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Toleo la Sheria zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Chamwino Mkoani Dodoma...more21minPlay
April 01, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA KWENYE BARAZA LA EID EL FITRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025....more25minPlay
March 27, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU PAMOJA NA RIPOTI YA CAG KWA MWAKA 2023/24Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Pamoja na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi, 2025....more9minPlay
March 23, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA MAJI YA MWAKA 2002, TOLEO LA MWAKA 2025Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar Es Salaam...more41minPlay
March 22, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NAMIBIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah ...more14minPlay
March 17, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995 TOLEO LA 2023 NA MFUMO WA e-ARDHI JIJINI DODOMARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025 Jijini Dodoma...more52minPlay
March 11, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALATRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025....more42minPlay
March 10, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAME - MWANGA - KOROGWERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuzindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, tarehe 09 Machi, 2025....more23minPlay
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.