Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan ... more
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.
March 08, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025....more45minPlay
March 01, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. WAKATI AKIKAGUA MABORESHO YA MRADI WA GATI MBILI MPYA KATIKA BANDARI YA TANGA,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akagua Maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025....more18minPlay
March 01, 2025HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. WAKATI WA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA LPG TERMINAL GBP GAS MKOANI TANGARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi la ujenzi wa LPG Terminal GBP Gas Mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025....more10minPlay
February 28, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA TANGARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo tarehe 28 Februari, 2025....more28minPlay
February 28, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKINGARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkinga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Stendi ya mabasi ya Mkinga katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 27 Februari, 2025....more16minPlay
February 27, 2025HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MUHEZA KWENYE MKUTANO WA HADHARARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025....more27minPlay
February 26, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MSIKITI MKUU WA IJUMAA TANGARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025....more14minPlay
February 26, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA PANGANIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kumba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 26 Februari, 2025....more17minPlay
February 25, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA KILINDIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kilindi, wakati akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025....more16minPlay
February 25, 2025HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANDENIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kwenye mkutano wa hadhara katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025....more11minPlay
FAQs about Ikulu Tanzania:How many episodes does Ikulu Tanzania have?The podcast currently has 98 episodes available.