Innocent Morris
Download on the App Store

Innocent Morris episodes

  • MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

    Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.

    Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    24 min
  • JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris

    Katika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    1 hr 6 min
  • MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris

    Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.

    Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana.

    Usisahau:
    ✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila wiki.
    ✔️ Share maombi haya ili kuwabariki wengine.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 
    Tiktok: hscworship

    1 hr 44 min
  • UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris

    Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026.  Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.

    Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026.

    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 

    23 min
  • MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris

    Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.

    MSTARI:
    "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."
    Mathayo 15:13

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    1 hr 34 min
  • JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris

    Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba.

    Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 
    Tiktok: hscworship

    1 hr 7 min
  • JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris

    Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. 

    Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 
    Tiktok: hscworship


    59 min
  • JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris

    Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.

    Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo.

    Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect 
    Facebook Page: Holy Spirit Connect 
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    1 hr 6 min
  • SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris



    ​Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako.

    Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)


    #holyspiritconnect #innocentmorris ​#MaombiYenyeNguvu #SiriZaMaombi #MafundishoYaNenoLaMungu #KuombaKwaImani #Uponyaji #MaombiYaKufunga #JinsiYaKuomba #NguvuYaMaombi #MunguAnajibu #UshindiKatikaMaombi

    1 hr 4 min
  • MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU

    Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako.

    "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu."
    Matendo ya Mitume 1:8

    Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu. 

    Mungu akubariki sana 🙏.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    #holyspiritconnect #innocentmorris #Maombi #Ujazo #Maombiyaujazo #RohoMtakatifu

    58 min

About Innocent Morris

From the publisher's feed

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi