Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about JADI YETU:How many episodes does JADI YETU have?The podcast currently has 19 episodes available.
January 18, 2021Somo la 2 katika kujua tabia kupitia nambaKujitambua katika mazingira ya mtu binafsi katika kupata uchanganuzi na marekebisho na utatuzi wa tabia mwili....more8minPlay
January 18, 2021Somo la kujua tabia yako kwa uchanganuzi wa Herufi na NambaKujitambua katika mazingira ya mtu binafsi katika kupata uchanganuzi na marekebisho na utatuzi wa tabia mwili....more5minPlay
January 18, 2021Jadi haiabudu MIZIMUElewa nini maana ya MZIMU na MIZUKA, niroho za watu waliokwisha fariki. Watu hao kama Walikufa haliyakuwa ni wema basi roho zao huitwa MZIMU, na kama watu hao walikufa haliyakuwa ni watenda mabaya basi rohozao ni MIZUKA...more8minPlay
January 18, 2021UTAKATIFU NA MAANA YAKE SAHIHIMasomo ya uwelewa wa mambo mbalimbali ambayo jamii imepoteza maana yake kwa sababu ya mapokeo yasiyo sahihi...more12minPlay
January 18, 2021DINI SIO MFUMO WA MUNGUDini zingekua mfumo wa Mungu kwanza zenyewe zingekuwa zinaelewana pia hazifanyi watu kuwa wamoja kiutu. JADI ndio msingi wa watu wote, asili zote duniani na tamaduni zote duniani kupata usahihi wa MUNGU...more6minPlay
January 17, 2021Maana ya Jina la MunguJina la Mungu liliweza kuwepo na lutunzwa Afrika kabla ya mapokeo ya tamaduni zisizo sahihi kutoka mabara mengine...more16minPlay
January 17, 2021KUMJUA MUNGUUtambuzi wa MUNGU katika usahihi unaopaswa kutoka kwenye JADI...more22minPlay
FAQs about JADI YETU:How many episodes does JADI YETU have?The podcast currently has 19 episodes available.