Siha Njema

Je unafahamu vipimo vya afya unavyohitaji kupima kabla kufunga ndoa?


Listen Later

Watu wengi wanapokaribia kufunga ndoa,hujukumika kufanya vipimo vya virusi vya HIV .Wengi hufanya kipimo hicho si kwa sababu wanajua umuhimu wake bali ni kwa sababu ya ulazima kabla kufunga harusi haswa za Kikristo.

Hata hivyo watalaam wa afya wanasema kuna vipimo tele ambavyo ni muhimu pia na vinahitajika kufanywa kabla ndoa.

Mwanasaikolojia Naomi Ngugi  anasema kando na kipimo cha HIV,kuna  kipimo cha Rhesus Factor ambayo kama mtu na mwenzake hana ufahamu ,wanaweza kupata shida ya kuharibika mimba.

Kuna pia kipimo cha  Genotype  kubaini uwepo wa ugonjwa kama  Selimundu ,Hepatitis B,  Hepatitis C au homa ya ini,vipimo vya  Magonjwa sugu, Magonjwa ya akili na Vipimo vya uzazi kubaini ubora wa mbegu za kiume na matatizo ya  mirija kuziba upande wa wanawake.

 

Vipimo hivyo vinaweza kugharimu ndoa iwapo wanandoa hawataweka wazi.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

85 Listeners

Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

5 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

13 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

Marchés du monde by RFI

Marchés du monde

0 Listeners