Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jua Haki Zako episodes

  • Kenya: Polisi watumia nguvu kupita kiasi
    Mashirika kadhaa ya kirai nchini yametuhumu polisi kwa kumia nguvu kupita kaisi kuwakabili wandamanaji wa upinzani wambao wamekuwa wakishiriki maandamano kutaka serikali kushughulikia kupanda kwa gharama ya maisha.
    10 min
  • Je wanawake wanatetea haki zao?
    Katika makala haya tunajadili dhana kuwa wanawake hawapo mstari wa mbele kupigania haki zao, ambapo utaskia kauli ya Allan Ngare kutoka Human Right Watch anayekanusha vikali dhana hiyo, pia utaskia kutoka kwa mratibu wa kina dada wanaotumia miili yao kupata riziki bi Felister Abdalla anayesema wakati umewadia jamii kuwakumbatia.
    10 min
  • Haki ya kupata habari za kweli na kuaminika
    Taasisi ya Bazara Media Lab nchini Kenya imezindua mpango unalenga kutambua habari za kzeli na uongo, tasisi hi ikisema wamechochewa kuja na mpango huo kutokana na kuongezeka kwa habari ghushi katika mitandao ya kijamii.
    11 min
  • Kenya :Watoto wanaoishi na ulemavu vijijini wakosa mahitaji ya kimsingi
    Nchini Kenya Watoto walio na ulemavu nchini kenya hasa maeneo ya mashinani wanazidi kupitia changamoto si haba ukilinganisha na wenzao wa mijini.Hii ni kutokana na ufukara unaozidi kuongezeka mashinani.-Takwimu kutoka shirika la afya duniani zinaonyesha kuwa takriban watoto milioni 2.5 wanaishi na ulemavu nchini Kenya huku asilimia 72 ya watoto walemavu wanaishi mashinani na asilimia 27.4 wanaishi mijini.
    Mwandishi wetu, Victor Moturi, alitembelea kaunti ya Kisii na Nyamira
    10 min
  • Haki ya raia wa wafaarika kuabudu
    Katika makala haya  tunaangazia haki ya kuadubudu ambapo nchini Kenya uhuru huo umesbabisha vifo vya zaidi ya watu 200 kupoteza maisha yao kutokana na mafunzo potovu ya mchangaji Paul Mackenzi.
    10 min
  • Mashoga na wasagaji wakimbizi walilia haki nchini Kenya
    Shirika la kimataifa la kutetea haki za biandamu Amnesty International limechapisha ripoti kuhusu kudhulumiwa kwa haki za mashago na wasagaji nchini Kenya, ripoti hiyo hasa ikijikiita zaidi  kwa wakimbizi na watafuta hifadhi katika kimbi kubwa ziadi nchini Kenya ya Kakuma;
    10 min

About Jua Haki Zako

From the publisher's feed

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala…

More shows like Jua Haki Zako

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners