Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Mwakyembe; Maandalizi ya Serengeti Boys kuelekea AFCON U17 yakamilika
    Waziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na michezo nchini Tanzania amesema Maandalizi ya kikosi cha Vijana wenye Umri wa chini ya Miaka 17,Serengeti Boys kuelekea michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika AFCON U17, yamefikia hatua nzuri na tayari kikosi kipo kambini.
    Ungana na Steven Mumbi pamoja na Fredrick Nwaka katika Mkala ya Jukwaa la Michezo wakichanganua michuano hiyo, Mchezo wa Simba na Yanga, Klabu ya Isamily kurejeshwa katika Michuano ya Klabu Bingwa miongoni mwa mengi utakayoyasiki.
    22 min
  • Jukwaa la Michezo - Mchezaji wa Kenya ahusishwa na upangaji wa matokeo
    Shirikisho la soka duniani, linachunguza iwapo ni kweli, mchezaji wa zamani wa timu ya taufa ya soka ya Kenya aliyekuwa beki George Owino, alihusika katika upangaji wa matokeo ya mchuano muhimu wa kufuzu kucheza fainali ya kombe la dunia mwaka 2010, wakati ilipoikabili Nigeria. Mechi hiyo ilimalizika kwa Nigeria kupata ushindi wa mabao 3-2. Tunachambua hili kwa kina.
    25 min
  • Mchezaji wa Kenya ahusishwa na upangaji wa matokeo
    Shirikisho la soka duniani, linachunguza iwapo ni kweli, mchezaji wa zamani wa timu ya taufa ya soka ya Kenya aliyekuwa beki George Owino, alihusika katika upangaji wa matokeo ya mchuano muhimu wa kufuzu kucheza fainali ya kombe la dunia mwaka 2010, wakati ilipoikabili Nigeria. Mechi hiyo ilimalizika kwa Nigeria kupata ushindi wa mabao 3-2. Tunachambua hili kwa kina.
    25 min
  • Simba yashindwa kufua dafu, michuano ya klabu bingwa Afrika
    Simba SC ya Tanzania imeendelea kupata matokeo mabaya katika mechi za hatua ya makundi za Ligi ya mabingwa Afrika.Sababu gani zinapelekea matokeo mabaya kwa klabu za Tanzania na hata Afrika mashariki katika michuano ya klabu Afrika na nini suluhu? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Bonface Osano kutathimini kwa kina.
    0 min
  • Jukwaa la Michezo - Michuano ya Sports Pesa inaonyesha utofauti wa Ligi ya Tanzania na Kenya?
    Makala ya tatu ya michuano ya Sports pesa imekamilika jana jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kushuhudia klabu kutoka Kenya ya KarioBang Sharks ikitwaa ubingwa kwa kuifunga Bandari pia ya Kenya kwa bao 1-0. Je, michuano hii inaonyesha tofauti ya Ligi ya Tanzania na Kenya? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Cassian Mbunda, Aloyce Mchunga na Bonface Osano kutathimini kwa kina.
    23 min
  • Michuano ya Sports Pesa inaonyesha utofauti wa Ligi ya Tanzania na Kenya?
    Makala ya tatu ya michuano ya Sports pesa imekamilika jana jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kushuhudia klabu kutoka Kenya ya KarioBang Sharks ikitwaa ubingwa kwa kuifunga Bandari pia ya Kenya kwa bao 1-0. Je, michuano hii inaonyesha tofauti ya Ligi ya Tanzania na Kenya? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Cassian Mbunda, Aloyce Mchunga na Bonface Osano kutathimini kwa kina.
    23 min
  • Jukwaa la Michezo - Michuano ya Klabu Bingwa Afrika yapamba Moto.
    Michezo mbalimbali ya klabu Bingwa imepigwa mwishoni mwa juma hili la Januari 20, 2019, Baadhi ya Michezo Kundi D Timu ya Simba ya Tanzania yapigwa Magoli 5-0 na AS Vital ya DRC,Al Ahly ya Misri yatoka sare na AS Saoura ya Algeriam nalo kombe la Shirikisho Gor Mahia yafuzu.
    Ungana na Steven Mumbi akiwa na wachambuzi Collins Liberty na Kahozi Kosha kutatmini Mashindano hayo katika Jukwaa la Michezo.
    21 min
  • Michuano ya Klabu Bingwa Afrika yapamba Moto.
    Michezo mbalimbali ya klabu Bingwa imepigwa mwishoni mwa juma hili la Januari 20, 2019, Baadhi ya Michezo Kundi D Timu ya Simba ya Tanzania yapigwa Magoli 5-0 na AS Vital ya DRC,Al Ahly ya Misri yatoka sare na AS Saoura ya Algeriam nalo kombe la Shirikisho Gor Mahia yafuzu.
    Ungana na Steven Mumbi akiwa na wachambuzi Collins Liberty na Kahozi Kosha kutatmini Mashindano hayo katika Jukwaa la Michezo.
    21 min
  • Jukwaa la Michezo - Hali ya mchezo wa masumbwi Afrika Mashariki
    Mchezo wa Masumbwi ni Mionmgoni mwa Michezo inayopendwa Duniani, Barani Afrika na hata katika nchi za Afrika Mashariki.
    Katika nchi za Afrika Mashariki umeshuka kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na miaka ya 1970 na 1980, nini Kimesababisha kuporomoka kwa Mchezo huo? Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Mabondia Haruna Swanga, Francis Cheka na Kocha wa Mchezo huo kutoka Kigali Rwanda Rutikinga Frednand wakizungumzia mchezo huo.
    23 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners