Siha Njema

Kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka katika ukanda wa Afrika


Listen Later

Kungatwa na nyoka imeorodheshwa miongoni mwa matatizo ya kiafya yaliyotengwa

Takwimu za shirika la afya duniani ,WHO zinasema kila dakika nne ,watu nne duniani, hupoteza maisha kutokana na sumu ya nyoka.

Hii ni kutokana na gharama ya juu ya matibabu ,ugumu wa kupatikana na matibabu haya na raia kutofahamu  hatua sahihi ya kufuata ukiumwa au kutemewa sumu na nyoka.

Nchini Sudan Kusini ,visa vya wagonjwa wanaongatwa imeongezeka maradufu kutokana na mafuriko ya miezi kadhaa  kwa mujibu wa shirika la madaktari wasio na mipaka,MSF

MSF hata hivyo kudhibiti hali ,inatumia mfumo wa akili mnemba au AI kurahisisha ubainishaji wa ainya ya nyoka na sumu yake vile vile matibabu yake,mradi unaoendeshwa na MSF katika baadhi ya vituo vyake jimbo la Warrap na Abyei.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

85 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

3 Listeners

Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

14 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners