Makala haya yanaangazia namna ukosefu wa usawa kati ya maskini na utajiri umeendelea kuathiri huduma muhimu kwenye mataifa yanayoendelea. Shirika la OXFAM kwenye ripoti yake hivi majuzi imezema kuwa kutokana na janga la Corona ,watu matajiri waliongeza utajiri wao zaidi huku maskini wakizama zaidi.