Sign up to save your podcasts
Or

Kumekuwa na malalamishi ya maziwa yaliyo kwenye soko kusababisha madhara ya kiafya
Watalaam wa afya ,bodi inayosimamia bidhaa za maziwa nchini Kenya na wanavetirinari wanasema matatizo hayo huenda yanatokana na uzembe wakati wa uchakataji maziwa ,uhifadhi na pia wafanyabiashara wenye pupa.
By RFI KiswahiliKumekuwa na malalamishi ya maziwa yaliyo kwenye soko kusababisha madhara ya kiafya
Watalaam wa afya ,bodi inayosimamia bidhaa za maziwa nchini Kenya na wanavetirinari wanasema matatizo hayo huenda yanatokana na uzembe wakati wa uchakataji maziwa ,uhifadhi na pia wafanyabiashara wenye pupa.

0 Listeners

86 Listeners

22 Listeners

5 Listeners

1 Listeners

0 Listeners

13 Listeners

2 Listeners

0 Listeners