Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Maria: Unakumbuka ndoto yeyote kubwa uliokuwa nayo utotoni?
Frank: Kubwa vipi?
Maria: Nilitaka zaidi kuingia kwenye runinga ilipia mimi nitazamwe!
Frank: Ndoto za utotoni za furahisha kweli. Bado lipo?
Maria: Halipo! Tangu, nimekuwa na ndoto nyingi kama kuwa rubani, mhandisi na kisha daktari.
Frank: Ni ngani kati ya hizi unayotaka kukua?
Maria: Pia halipo! Sasa nataka kazi itakayolipa vizuri na kusaidia watu wanaoteseka.
Frank: Hata hivyo, utakuwa rubani na daktari kwa njia tofauti. Nakuombea la heri.
Maria: Asante.
----Formal English----
Maria: Do you remember any big childhood dream?
Frank: How big?
Maria: I really wanted to get inside the TV so that I could be watched!
Frank: Childhood dreams are hilarious. Do you still want to go for it?
Maria: No! Since then, I’ve had many dreams, such as being a pilot, an engineer, and a doctor.
Frank: Which one of those do you want to become?
Maria: None of them! I now want a job that pays well and helps people who are suffering.
Frank: Then, you will be a pilot and a doctor in a different way. All the best.
Maria: Thanks.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!