Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Frank: Hali ya anga imekuwa mbaya hivi karibuni.
Rehema: Kutakuwa na upepo mkali na mvua kubwa kesho.
Frank: Je, Nairobi itaathiriwa?
Rehema: Ndio, katika sehemu zake nyingi.
Frank: Natumaini haitafurika kama hapo mbeleni.
Rehema: Cha kuhuzunisha ni kuwa Westlands imetabiriwa kufurika.
Frank: Habari ya kuogopesha.
Rehema: Ndivyo. Umewadia wakati tujiandae kutoka kwa mabalaa haya.
----Formal English----
Frank: The weather has been rough lately.
Rehema: We have strong winds and heavy rain tomorrow.
Frank: Is Nairobi going to be affected?
Rehema: Yes, in most of its areas.
Frank: I hope it won't flood like it did before.
Rehema: Unfortunately, heavy floods are expected in Westlands.
Frank: Scary to hear.
Rehema: Right. It’s high time we prepare for these kinds of disasters.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!