Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mark: Tafadhali nijulishe kukuhusu.
Rehema: Jina langu ni Rehema Wema kutoka Kisiwa cha Zanzibar.
Mark: Ulisomea kozi gani katika chuo kikuu?
Rehema: Nilisomea uhandisi kompyuta pamoja na biashara.
Mark: Je, unaujuzi katika udhibiti wa miradi?
Rehema: Sina lakini ninaweza kujifunza haraka.
Mark: Je, unaweza thibitisha ujuzi wako?
Rehema: Jitihada na adabu iliniwezesha kutengeneza tovuti tano za kampuni tofauti.
Mark: Sawa, nitaangalia zaidi kuhusu kuhitimu na ujuzi wako.
Rehema: Natumai kusikia kutoka kwako.
----Formal English----
Mark: Could you tell me about yourself?
Rehema: My name is Rehema Wema. I'm from the island of Zanzibar.
Mark: What course did you study in university?
Rehema: I studied computer engineering and business.
Mark: Do you have experience in project management?
Rehema: No, but I can learn quickly.
Mark: What have you accomplished with your skills?
Rehema: Hard work and discipline enabled me to create five websites for different companies.
Mark: Well, I'll look further into your qualifications and experiences.
Rehema: I look forward to hearing from you.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!