Lishe bora katika kupambana na magonjwa kwa binadamu
Makala haya yanaangazia ,lishe bora ambayo huathiri maisha ya binadaam . Watalaam wa afya wanasema vyanzo vya magonjwa mengi yasiyoambukizwa kama vile saratani ,kisukari na kiharusi ni namna mtu anavyotumia chakula.