Madhara ya mimba za mapema na zisiyopangwa nchini Kenya
Katika makala haya tunaangazia madhara ya mimba za mapema zisizopangwa zinavyoathiri mustakakabali wa wanawake. Wasichana wanapoacha shule kutokana na mimba za mapema wanakuwa nyuma kimaendeleo.