Madhara ya saratani ya shingo ya kizazi nchini Kenya
Katika makala haya tunaangazia mpango mpya wa wizara ya afya nchini Kenya kupambana na saratani ya shingo ya kizazi wakati huu taifa hili likishuhudia vifo vya wanawake tisa kila siku kutokana na saratani ya aina hiyo.
Kupata mengi zaidi ungana na mwanahabari wetu wa masuala ya afya Caroline Korir