Kila ifikapo tarehe 25 mwezi wa Nne Dunia Huadhimisha ni siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, mataifa sita ya Afrika huenda yakautokomeza kabisa ugonjwa huo ifikapo mwaka 2020.
Siha
Makala ya Siha Njmea inagazia juu ya Jitihada za kupamaba na Ugonjwa huo wakati ikijianda kuadhimsha siku ya Kimatia ya Malaria