Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

By DW.COM | Deutsche WelleEducation
Download on the App Store

Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle episodes

  • Sura 26
    Maadili ya MashirikaMtindo wa uongozi, mfumo wa nyadhifa, mashirika yanavyojitambulisha: Jinsi makampuni yanavyowasiliana na kujiwasilisha.Mada: Mashirika yanavyojitambulisha, lengo la mashirika, mtindo wa uongozi
    25 min
  • Sura 25
    Chama cha WafanyibiasharaMashauriano, taarifa, ushawishi: Jinsi uchumi wa Ujerumani unavyojisimamia na kujidhihirisha.Mada: Vyama vya kibiashara na kiuchumi vya Kijerumani
    24 min
  • Sura 24
    Uchukuzi wa ndani na utaratibu wa usafirishaji BandariniKontena, mifereji, ada za uchukuzi: Vipi na kwanini mizigo husafirishwa kwa kutumia mito na bahari.Mada: Uchukuzi wa ndani
    24 min
  • Sura 23
    Haki ya kufanya biasharaKugawana kazi, ushirikiano, usimamizi: Jinsi makampuni yanavyojitanua na kuendeleza utaalamu.Mada: Haki ya kufanya biashara, makubaliano ya vibali, maduka mengi
    24 min
  • Sura 22
    Mabadiliko ya kimuundo katika KilimoMaziwa, nafaka, ruzuku: Jinsi ambavyo sekta ya kilimo ilivyobadilika katika kipindi cha miongo kadha iliyopita.Mada: Kilimo
    25 min
  • Sura 21
    Viwanda vinavyobadilikaMakaa ya mawe, upungufu wa ajira: Jinsi Bonde la Ruhr nchini Ujerumani linavyoathiriwa na kutoweka kwa viwanda vya kiasili.Mada: Viwanda vya makaa ya mawe na chuma cha pua, ruzuku kwa makaa ya mawe, mabadiliko ya kimuundo
    25 min
  • Sura 20
    Kukabiliana na Maji-takaVichafuzi, mitambo ya kusafisha maji-taka, kuondoa maji-taka: Jinsi ya kuhifadhi na kuhakikisha usafi wa maji.Mada: Maji-taka, utunzaji mazingira
    24 min
  • Sura 19
    Kurundikana Kwa TakaTaka, kutumia upya bidhaa, uchumi shirikishi: Jinsi ya kupunguza taka na kulinda mazingira.Mada: Taka, kutumia upya bidhaa, usimamizi wa mazingira, kanuni za kufunga bidhaa.
    20 min
  • Sura 18
    Changamoto za Kitamaduni – Maonyesho ya Kibiashara mjini Cologne
    Uwasilishaji, mawasiliano, kuagiza: Jinsi ya kuwasilisha bidhaa kwenye sekta ya biashara.Mada: Maonyesho ya kibiashara
    25 min
  • Sura 17
    Endelea Kusoma Barua za maombi, mafunzo ya kazi, vyeti:
    Mambo ambayo wafanyakazi wanaweza kuyafanya kuboresha ujuzi wao.Mada: Uwekevu, mafunzo ya kazi, vyuo vya ufundi
    24 min

About Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

From the publisher's feed

Kijerumani cha biashara kwa wazungumzaji walioendelea: Marktplatz ni somo la Kijerumani linalokufunza jinsi ya kutekeleza biashara zako za kila siku na mambo ya kiafisi.