Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

By DW.COM | Deutsche WelleEducation
Download on the App Store

Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle episodes

  • Sura 06
    Huduma ya Wateja Mkahawani
    Huduma, wema, kuelekeza wateja: Je sifa zipi muhimu zaidi kwa kampuni bora ya kutoa huduma?
    Mada: Kampuni ya kutoa huduma, kuelekeza wateja, mkahawa
    25 min
  • Sura 05
    Hesabu na Kupanga beiLikizo jumlishi, ziara za makundi, safari zenye vivutio: Jinsi matawi tofauti ya sekta ya utalii yanavyofanya kazi,Mada: Hesabu, ziara za makundi, kupanga bei, likizo jumlishi, Safari zenye vivutio, Sekta ya utalii
    24 min
  • Sura 04
    Mikataba ya Uuzaji, Dhamana, DhimaJe wateja wana haki na majukumu gani wanaponunua bidhaa fulani?Mada: Mikataba ya Uuzaji, dhamana, dhima, AGB, BGB, TÜV
    24 min
  • Sura 03
    Kazi ya mikono – Njia ya KujitegemeaMtaji wa kuanzia, mahali, upangaji wa bidhaa: Jinsi ya kupata kampuni.Mada: Mtaji wa kuanzia,mahali, upangaji wa bidhaa
    24 min
  • Sura 02
    Soko la Samaki – Ushindani wa waziUfanisi wa masoko, mawazo ya kibiashara, kuanzisha biashara: Jinsi ya kuimarisha soko.Mada: Ufanisi wa masoko, mawazo ya kibiashara, kuanzisha biashara
    25 min
  • Sura 01
    Kioski – Kila Kitu Mahali PamojaMagazeti, peremende, sigara: Jinsi ya kuendesha biashara ndogo ya kifamilia.Mada: Biashara ya Familia, Kioski, Uuzaji-wa jumla jumla
    23 min

About Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

From the publisher's feed

Kijerumani cha biashara kwa wazungumzaji walioendelea: Marktplatz ni somo la Kijerumani linalokufunza jinsi ya kutekeleza biashara zako za kila siku na mambo ya kiafisi.