Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

By DW.COM | Deutsche WelleEducation
Download on the App Store

Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle episodes

  • Sura 16
    Utumizi wa Mitambo na Kujipanga upyaMakundi ya utoaji bidhaa, uwasilishaji mfululizo, mashine zifanyazo kazi zenyewe/ roboti: Jinsi makampuni yanavyolenga kupunguza wafanyikazi na gharama za kuhifadhi.Mada: Kupunguza utoaji bidhaa, kuagiza bidhaa kutoka kwengine, baraza la wafanyikazi, mafunzo mapya, kufidia, kustaafu mapema, kutumia mitambo, kujipanga upya/ kujirekebisha
    26 min
  • Sura 15
    Utafiti na MaendeleoUshindani, majaribio, ukubalifu sokoni: Jinsi ya kuasisi bidhaa.Mada: Hataza, utafiti, kuendeleza, uvumbuzi
    24 min
  • Sura 14
    UuzajiTathmini ya masoko, kundi linalolengwa, sura ya bidhaa: Jinsi ya kufanya bidhaa mpya ionekana ya kuvutia na ifaulu sokoni.Mada. Uuzaji, usambazaji, mauzo, upangaji bidhaa
    24 min
  • Sura 13
    Matawi ya KigeniMahali, gharama za kazi, viwango vya kimazingira. Sababu za makampuni kuwekeza na kutengenezea bidhaa ng’ambo.Vitega-uchumi vya moja kwa moja, mikataba midogo, tanzu, matawi ya kigeni
    24 min
  • Sura 12
    Ubia – Kampuni ya KrohneBiashara-nje, upanuzi, ushirikiano: Jinsi makampuni yanavyoshirikiana katika nchi tofauti.Mada: Ushirikiano, kuungana, ubia
    23 min
  • Sura 11
    Uchukuzi unahitaji mawasiliano mema
    Gharama za usafirishaji, tofauti za bei, miadi ya kupakua: Jinsi bidhaa zinavyofika zinakopelekwa kote duniani.
    Mada: Uchukuzi wa kibiashara, jinsi ya kusafirisha, mfumo wa kusafirisha
    25 min
  • Sura 10
    Uchukuzi wa Kibiashara
    Wakati wa kuondoka, gharama za upakiaji: Jinsi, mahali na sababu ya bidhaa kusafirishwa.
    Mada: Uchukuzi wa kibiashara, jinsi ya kusafirisha, mfumo wa usafirishaji
    24 min
  • Sura 09
    Kufadhili MashirikaGharama, kufungua akaunti, kufilisika: Mahali fedha ya kuanzisha biashara mpya inapopatikana na jinsi inavyoweza kutoa faida.Mada: Deni kwenye akaunti ya benki, kufadhili mashirika, kufilisika, hisa
    25 min
  • Sura 08
    Kutaka Ushauri
    Lugha, utamaduni, sheria: Mambo muhimu wakati unapohamia ng’ambo, na mahali ambapo wafanyabiashara wanaweza kupata taarifa.
    Mada: Kutaka ushauri, bima ya jamii, masoko yanayoibuka, kukodi (kukodisha) kupanga (kupangisha)
    24 min
  • Sura 07
    Gharama na Mauzo ya njeHatari za uwasilishaji, kupata mkopo, uwezo wa kulipa madeni: Wakati ambapo mteja anashindwa kulipa ilhali mtoaji bidhaa anahitaji kujilinda.
    Mada: Mauzo ya nje, biashara-nje, mauzo yenye masharti, kukopa mtoaji bidhaa, kupata mkopo
    25 min

About Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

From the publisher's feed

Kijerumani cha biashara kwa wazungumzaji walioendelea: Marktplatz ni somo la Kijerumani linalokufunza jinsi ya kutekeleza biashara zako za kila siku na mambo ya kiafisi.