Siha Njema

Matatizo ya kupata uja uzito miongoni mwa wanafamilia yanazidi kuongezeka


Listen Later

Ripoti nyingi  zinaonesha wanawake pamoja na wanaume wanakabiliwa na changamoto za uzazi

Wanandoa nyingi wanalazimika kukaa miaka mingi kabla kupata watoto ,kitu ambacho bado kinazingatiwa na jamii za Afrika kuwa ukamilifu katika kila ndoa au familia.

Daktari bingwa wa uzazi dkt Dennis Miskella anaeleza  juhudi za kutafuta mtoto zinastahili kuwa ushirikiano kati ya mke na mumewe

Baadhi ya sababu zinazohusishwa na hali hii ni kushiriki tendo la ndoa visivyo ,athari za baadhi ya mbinu za kupanga uzazi ,uvutaji sigara na pia unene wa kupitiliza

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

85 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

3 Listeners

Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

14 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners