Tiba za asili ni hali ya kutumia mitishamba isiyokuwa na dawa za kemikali a wakati huo huo ni kama chakula cha kujenga mwili na viini vya damu uwa imara kwa manufaa ya afya kimwili na kupata nguvu pindi ukitumia kama tiba kwani ufanya kazi mbili kutibu na kujenga mwili wakati huo huo.
Makala ya Siha Njema inagazia juu ya Matumizi ya Tiba ya Asili na Faida zake