Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • CENI uchaguzi utafanyika desemba 20 DRC, Uingereza kuhamishia wahamiaji Rwanda
    Yaliyojiri wiki hii imeangazia hatua ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kusisitiza kuwa  uchaguzi utafanyika desemba 20 kama ulivyopangwa; wakati huo huo aliyekuwa mwenyekiti wa CENI Corneille Nangaa alizindua chama kipya cha AFC Alliance Fleuve Congo, wabunge wa Uingereza walipiga kura kuunga mkono mpango wa kuwahamishia wahamiaji nchini Rwanda, siasa za Senegal, na huko Niger Mahakama ya ECOWAS yaamuru kuachiwa huru kiongozi aliepinduliwa nchini Niger Muhamed Bazoum, Jeshi la Israel laendeleza  mashambulio mjini Gaza, na pia matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani.
    21 min
  • Rwanda na Uingereza zasaini mkataba kuhusu wahamiaji, jeshi la EAC laondoka DRC
    Makala hii imeangazia hatua ya Rwanda na Uingereza kutiliana saini mkataba mpya kuhusu kuwahamisha wahamiaji kutoka Uingereza kupelekwa Rwanda, makumi ya watu wapoteza maisha katika mafuriko nchini Tanzania, kampeni za uchaguzi mkuu zashika kasi kuelekea desemba 20 huko DRC, Waasi wa M23 wazidisha Mapigano eneo la mashariki mwa DRC, hali ya siasa nchini Kenya, na mataifa mengine ya Afrika magharibi, lakini pia kongamano la Kimataifa kuhusu hali ya hewa waendelea Dubai kwenye Nchi ya Falme za kiarabu, na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani...
    21 min
  • Mkutano wa COP28, EU kuondoa waangalizi wake wa Uchaguzi huko DRC na mengineyo
    Makala hii imeangazia mkutano wa kilele wa kimataifa kuhusu hali ya tabia nchi COP28 huko Dubai, kuachiwa kwa baadhi ya mateka waliokuwa wameshikilwia na Hamas huko Gaza, DRC ilisema muda wa Kuwepo kwa vikosi vya Jumuia ya EAC hautaongezwa baada ya desemba 08, Umoja wa Ulaya  waamua kusitisha mpango wa kuwasambaza waangalizi wake wa uchaguzi nchini DRC, siasa za Kenya, Tanzania, na mengine yaliyojiri kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, Afrika magharibi na kwengineko duniani.
    21 min
  • Burundi kuondoa wanajeshi wake DRC, Ufaransa na mkutano kuhusu Gaza
    Makala ya Yaliyojiri wiki Hii, imeangazia hatua ya kikosi cha wanajeshi wa Burundi chini ya Jumuia ya Afrika Mashariki, EAC kujiondoa maeneo ya mashariki mwa DRC, mapigano kati ya jeshi la serikali ya DR Congo FARDC na waasi wa M23 mkowani Kivu kaskazini, hotuba ya rais wa Kenya wiki hii yazua hisia mseto, hali ya kibinadamu nchini Sudan yausikitisha Umoja wa mataifa, kongamano la Kimataifa kuhusu Gaza lafunguliwa nchini Ufaransa na mengine mengi duniani.
    21 min
  • Zaiara ya mfalme wa tatu wa Uingereza, kukamatwa kwa muasi wa ADF Uganda
    Makala ya wiki hii imeangazia matukio kadhaa yaliyojitokeza wiki hii kote ulimwenguni, miongoni ni pamoja na ziara ya mfalme Charles wa tatu wa Uingereza nchini Kenya, ambapo pia rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kule Tanzania, hali ya kisiasa na kiusalama nchini DRC, mkutano kuhusu utalii barani Afrika ulitamatika jijini Kigali, nchini Rwanda, na matukio mengine yaliyoshuhudiwa kwenye ukanda huu na kwengineko duniani.
    21 min
  • Ziara ya rais E. Macron huko Israel, mapigano mashari mwa DRC, siasa za Kenya
    Makala hii imeangazia ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron  huko Israeli, maombi kutaka bunge liidhinishe mpango wa kutumwa kwa askari wake elfu 1 nchini Haiti, hali ya kisiasa na usalama huko DRC, nchini Sudan, lakini pia hali tete ya kiafya ya kinara wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani. Ungana na mwanahabari wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
    21 min
  • Mashambulio ya Hamas nchini Israel, siasa za DRC na ukanda wa Afrika mashariki
    Miongoni mwa mengi yaliyoangaziwa katika makala ya juma hili ni pamoja na mashambulio yaliyofanywa na kundi la Hamas huko Israeli, siasa za Kenya, Uganda na Tanzania, kulegezwa kwa hali ya dharura iliyowekwa kwenye majimbo mawili ya Kivu kaskazini na Ituri huko DRC, hali ya Sudan na kuondoka kwa awamu ya kwanza ya wanajeshi wa Ufaransa nchini Niger, na mengineyo duniani.
    21 min
  • Mwanasiasa wa upinzani Uganda Bobi Wine akamatwa, mauaji ya Sondu Kenya
    Makala ya wiki hii imeangazia baadhi ya habari kuu za dunia matukio makubwa kama vile kukamatwa na kuwekwa katika kizuizi cha nyumbani kwa mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ziara ya rais wa Kenya William Ruto magharibi mwa Nchi na kuwasilishwa kwa faili za wanasiasa wanaogombea urais katika ofisi za Tume ya uchaguzi nchini DRC, CENI, siasa na hali ya ukanda wa Afrika magharibi na kaskazini na kwengineko duniani.
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners