Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine watimiza Mwaka mmoja, M23 washika Mushaki-DRC
    Sehemu kubwa ya makala hii itaangazia uvamizi wa Urusi kule Ukraine, mwaka mmoja ulitimia siku ya ijumaa ya ebruary 24 huku vita vikiendelea, wasi wasi kule Sake karibu na mji wa Goma kutokana na mapigano ya waasi wa M23 na jeshi la serikali ya DRC FARDC katika Vijiji kadhaa wilayani Masisi ; Siasa za Kenya, lakini pia ziara ya waziri wa Ufaransa Kenya na Tanzania, pamoja na mashambulio ya wanajihadi kule Burkina Faso
    21 min
  • M23 walibaka na kuua Kishishe DRC yasema Amnesty international, Watu 41 elfu wafa Uturuki
    Makala hii imeangazia kuanzishwa kwa zoezi la usajili wa wapigakura eneo la mashariki ya DRC, masuala ya uchaguzi wa mwaka uliopita nchini Kenya na wadukuzi kutoka Israeli, kuingilia mawasiliano binafsi ya washirika wawili wa rais William Ruto, mkutano wa viongozi wa Afrika huko Addis Ababa Ethiopia, na kufifia kwa matumaini ya kupatikana kwa watu zaidi waliokwama kwenye vifusi katika mitetemeko ya ardhi Uturuki na Syria, pamoja na mambo mengine.
    21 min
  • Waasi wa M23 wauteka mji wa Kitshanga, rais wa Kenya W.Ruto azuru Ufaransa
    Makala hii imeangazia mvutano wa kidiplomasia kati ya Rwanda na DRC waendelea kushika kasi baada ya ndege ya jeshi la Congo kutunguliwa kutoka Rwanda, waasi wa M23 wiki hii walishika mji wa Kitshanga katika mkowa wa Kivu kaskazini, rais wa Kenya William Ruto atembelea Ufaransa, Balozi wa Ufaransa nchini Burkina Faso arejeshwa Paris na mapigano huko Ukraine
    21 min
  • Ebola yatangaza kumalizika kwa maambukizi ya Ebola
    Miongoni mwa yale tumekuandalia ni pamoja na mkutano wa waasi wa kundi la M23 na mpatanishi wa juluia ya Afrika mashariki, EAC rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta, Uganda wiki hii ilisema hakuna tena Ebola nchini, mvutano kati ya DRC na Rwanda kuhusu wakimbizi, waasi wa Tigray waanza kuutekeleza mkataba wa amani, Ufaransa tayari kuimarisha uhusiano wake na Burkina faso na waziri mkuu wa Ufaransa aweka wazi msimamo wa serikali yake kuhusu umri wa kustaafu
    21 min
  • Matukio ya wiki ya kwanza ya mwezi Januari 2023
    Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na Watu tisa, walipoteza maisha jijini Kampala Uganda wakati ulimwengu ulipokuwa ukiukaribisha mwaka mpya, waasi wa 23 huko mashariki ya DRC hatimaye wakubali kukabidhi kambi kubwa ya kijeshi ya Rumangabo kwa kikosi cha Jumuiya ya Afrika mashariki ijumaa ya January 06, Hatua ya rais wa Tanzania ya kuondoa marufuku ya mikutano ya vyama vya kisiasa kwenye nchi hiyo, miongoni mwa mengine mengi.
    21 min
  • Mkutano wa Marekani na viongozi wa Afrika
    Mkutano wa viongozi wa nchi za Afrika na Marekani huko Washington, watu zaidi ya 100 wafariki dunia katika mafuriko makubwa kuwahi kushudiwa Jijini Kinshasa, DRC. Wananchi wa Kenya waliadhilisha miaka 59 ya uhuru kutoka kwa mkoloni wa Nchi hiyo Uingereza, ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa kwenye eneo la Afrika magharibi huko Rabat, hali ya mapigano kuendelea Kushuhudiwa huko Ukraine ambapo wakaazi wa maeneo mengi wamesalia bila ya umeme na maji.
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners