Sign up to save your podcasts
Or
Kumekuwa na mvutano kati ya serikali ,uongozi wa kaunti za Pwani ya Kenya ,kuhusu Muguka kupigwa marufuku kwa sababu za kiafya
Wakulima ,wafanyabiashara na wenyeji wa Embu wanaozalisha Muguka kwa kiasi kikubwa hata hivyo wanasema hawajapata madhara yoyote
Hata hivyo watalaam wa afya wanaonya uraibu wa Muguka unaweza kudhuru afya

22 Listeners
85 Listeners
3 Listeners
0 Listeners
1 Listeners
14 Listeners
2 Listeners
0 Listeners