Kama wewe ni mwenye haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu tambua kuwa Bwana anafurahia ustawi wako na siku zote, anahakikisha una utoshelevu katika maeneno yote ya maisha yako, nyumbani kwako kumejaa mali na utajiri, na unauwezo wa kufadhili na kukopesha na uzao wako umebarikiwa, kama haya mambo manne hayaonekani maana yake ni kwamba haumfurahishi Mungu, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuishi maisha ya kumfurahisha Mungu.