Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Mwalimu Huruma Gadi:How many episodes does Mwalimu Huruma Gadi have?The podcast currently has 1,609 episodes available.
November 21, 2019C3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANIJifunze ni kwanamna gani kuishi chini ya sheria kunavyokufunga katika kuishi maisha ya kutegemea mti wa ujuzi wa mema na mabaya na kukusababishia kila siku uwe mtu mwenye makosa na kuishia kuomba rehema na toba. Na kuishi kwa kutegemea haki ya Mungu kunavyokupa uhuru wa kufaidi kazi kamilifu ya msalaba wa Yesu Kristo, Bwana wetu....more29minPlay
November 20, 2019C2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANIKama wewe umemuamini Yesu Kristo, tambua kuwa wewe ni haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu na kuishi kwa imani ni lazima siyo pendekezo, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo uanze kuishi kwa imani na si kwa matendo ya sheria....more29minPlay
November 16, 2019B6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA AMANIYakobo 5: 16 inasema"...... Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii" Kwanini maombi ya mwenye haki yanafaa sana na si maombi ya mtu asiye haki. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo....more30minPlay
November 15, 2019B5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANIJifunze kutoka kwa Mwalimu Huruma Gadi namna ya kifo cha Yesu msalabani kilivyoshughulika na dhambi ya ulimwengu mzima na kufufuka kwake kutoka katika kaburi kumekupatia vipi haki ya Mungu....more30minPlay
November 14, 2019B4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANIUtaitambuaje kuwa hii unayosikiliza ama unayojifunza ni Injili ya kweli ama ya uongo? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ujifunze sifa na tabia ya Injili ya kweli...more30minPlay
November 13, 2019B3: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANIJifunze kuishi kwa kutegemea haki ya Mungu kunavyokusababisha utengwe na dhambi, mauti, laana, magonjwa, umasikini, jehanamu na kusababishia utawale katika uzima, baraka mema, afya, utajiri na kumuweka ibilisi chini ya miguu yako....more25minPlay
FAQs about Mwalimu Huruma Gadi:How many episodes does Mwalimu Huruma Gadi have?The podcast currently has 1,609 episodes available.