Umeokolewa kwa neema kwa njia ya imani, kama ulivyookolewa kwa neema kwa njia ya imani vivyo hovyo unatakiwa kuendesha maisha yako ya wokovu kwa neema kwa njia ya imani, Watu wengi waliposikia habari hii njema wengi waliamua kuchukua hatua ya kutoa na kumuamini Mungu kwa kussuport kazi yake ya kueneza habari njema, hii maana yake ni nini? maana yake ni kwamba neema na imani vilikutana pamoja na matendo yao, nguvu ya Mungu ikaelekezwa katika uchumi wako na wakaanza kuishi katika utoshelevu na ustawi lakini adui alivyokuja kuwadanganya kwamba hela waliyonayo haitoshi, majukumu yamekuwa mengi, itumie kwanza Mungu utamtolea baadae, wakajikuta wakiondoa imani yao kazini pasipo kujia na kusababisha nguvu ya Mungu kukata na kuingia katika hali ya kutokuwa na utoshelevu. Ungana na Mwalimu huruma Gadi katika somo hili la UMUHIMU WA KUWA NA IMANI YENYE HATUA ZENYE MWENDELEZO. Ungana na Mwalimu huruma Gadi katika somo hili.