Ukame na kupanda kwa gharama ya bei ya vyakula barani Afrika imeendelea kuathiri pabubwa afya ya raia wengi. Nchi nyingi zinazotegemea kilimo zimeshindwa kupata vyakula kutokana na kukithiri ukame.Mataifa pia yanayokumbwa na machafuko ni miongoni mwa mataifa yanayoshuhudia njaa na kuongezeka wagonjwa wenye tatizo la utapiamlo.Umoja wa Afrika umesema kuna watu karibu milioni 20 eneo la Pembe ya Afrika na Afrika mashariki walio na njaa