Siha Njema

Njia ya kupanga uzazi kwa wanaume kukatwa mshipa wa uzazi


Listen Later

Takwimu za umoja wa mataifa , zimetaja ,Afrika  ya Mashariki  kuwa  eneo linaloongoza katika  ukuaji wa  idadi ya watu ,  barani Afrika ,ikiwa na watu   zaidi ya milioni 457.
Kukabiliana na hali hii ,Shirika la afya duniani, WHO, pamoja na jamii ya umoja wa mataifa bado zimeendelea kusisitiza umuhimu wa  uzazi wa mpango, kwa kushauri wanaume kujiunga kwa kampeini hii kwa kutumia mpira au condom au kukata mshipa wa uzazi maarufu vascectomy .
Skiza makala haya Kwa ufahamu zaidi
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

86 Listeners

Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

5 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

13 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

Marchés du monde by RFI

Marchés du monde

0 Listeners