Wiki hii, tunaangazia njia mbadala ambazo wavuta sigara wanaweza kutumia kupunguza uraibu, ili kuwasaidia kuachana na uvutaji wa sigara wakati wa siku ya kimataifa ya kupiga vita matumizi ya tumbaku.