Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi nyetu vinawapa fursa wasikilizaji wetu kufahamu masuala ya siasa na jamii barani Afrika... more
FAQs about Noa Bongo – Siasa na Jamii:How many episodes does Noa Bongo – Siasa na Jamii have?The podcast currently has 21 episodes available.
August 14, 2013Mizozo na Utatuzi - Palipo na WazeeHata katika karne ya 21, migogoro inaonekana kuwa jambo lisiloepukika duniani kote. Migogoro inaweza kusuluhishwa kwa njia ya amani kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika wenye mbinu nyingi za kutafuta suluhu....more12minPlay
August 12, 2013Nyuma ya Maikrofoni - Vyombo vya HabariJe, umewahi kujiuliza vipindi uvipendavyo vya redio au televisheni vinatengenezwa vipi? Sasa Noa Bongo inakupa fursa ya kufahamu vyema yote yanayotokea kabla ya kutazama televisheni au kusikiliza vipindi katika redio....more12minPlay
August 06, 2013Kila Mmoja ni Tofauti - Heshima kwa Makundi ya WachacheLouis anatembea kwa kiti cha magurudumu, Junior ni shoga, naye John ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi. Watu hawa watatu wanabaguliwa miongoni mwa jamii kutokana na hali zao za ulemavu, kijinsia na maumbile. Haingepaswa....more12minPlay
August 06, 2013Imani Imesalitiwa – Hadithi ya Udhalilishaji wa Kijinsia Barani AfrikaDhulma za kimapenzi ni tatizo kubwa kote barani Afrika. Nuru, Pato na Allan ni waathiriwa wa visa vya unyanyasaji wa kimapenzi. Vijana hao watatu wanakabilianaje na tatizo hili maishani? Msaada wanapata wapi?...more12minPlay
April 07, 2011Jumuiya za kiraia – Kipindi 1 – Mradi wa kandanda wa shirika lisilo la kiserikali la MysaKatika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya mashirika ya kijamii na kupata nafasi ya kuijua klabu kubwa ya kandanda iliyoko katika moja ya mitaa mikubwa kabisa ya mabanda duniani huko nchini Kenya....more10minPlay
April 06, 2011Ushiriki katika siasa – Kipindi 10 – Muda wa kuanzaRonnie ataichezea timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 16. Kwaya ya Betty haijachaguliwa kuimba mbele ya rais. Eveline ameingia katika ukumbi wa jiji akiwa diwani mpya wa Mlimani. Je ni kitu gani kilicho mbele yao?...more10minPlay
April 06, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 9 – Mshangao kwa kila mtuEveline, akiwa na umri wa miaka 19 tu ameshinda kiti cha uwakilishi na hii ni juhudi pamoja na uaminifu. Baba yake ambaye alipigwa risasi, bado amelazwa hospitali. Katika kipindi hiki kuna mshangao kwa kila mtu....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 1 – Viongozi huandaliwa sio kuzaliwaKatika mfululizo wa vipindi hivi, tunakutana na familia ya Mapito. Afisa wa polisi aliyefiwa na mkewe, ana watoto 3. Eveline amemaliza sekondari, Ronnie ana kipaji cha soka na Betty ana ndoto ya kuwa muimbaji....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 2 –Ndoto yanguHuko shuleni Betty anatangaza kuwa anataka kuanzisha kundi la kwaya. Samuel anatangazwa kuwa nahodha wa timu yake ya soka. Eveline anamwambia baba yake kuwa anataka kuwa mwanasiasa mahiri....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 3 – Safari ndefuKatika kipindi hiki tutakwenda safari, lakini sio kutembelea mbuga za wanyama barani Afrika , bali ni kufuatilia safari ya kisiasa ya Eveline. Safari yake inaanzia nyumbani kwao katika familia ya Mapito....more10minPlay
FAQs about Noa Bongo – Siasa na Jamii:How many episodes does Noa Bongo – Siasa na Jamii have?The podcast currently has 21 episodes available.