Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Vipindi nyetu vinawapa fursa wasikilizaji wetu kufahamu masuala ya siasa na jamii barani Afrika... more
FAQs about Noa Bongo – Siasa na Jamii:How many episodes does Noa Bongo – Siasa na Jamii have?The podcast currently has 21 episodes available.
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 4 - HaiuzwiEveline na wenziwe wanafanya baadhi ya kazi za kijamii wakiungwa mkono na wenyeji. Lakini mbunge wa eneo hilo anamkataa kwa sababu ni kijana mdogo mno kwa hiyo hana nafasi. Kipindi hiki kitatufahamisha kile kisichouzwa....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 5 – Ukweli au udanganyifuTutagundua ukweli na udanganyifu. Eveline ambaye ni mbunge amekamatwa kwa rushwa. Betty amepambana na vita vigumu kuwania uongozi wa kundi la kwaya na kaka yao Ronnie ameshauriwa na baba yake juu ya mafunzo yake ya soka....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 6 – Sheria za mchezoTumeona jinsi vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia kampeni za Eveline. Nafasi ya nahodha wa timu imechukuliwa na Ronnie. Mdogo wao Betty anapambana kuliunganisha kundi lake la kwaya. Sasa tutajifunza sheria za mchezo....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 7 - TushikamaneKatika kipindi hiki tunamfuatilia Ronnie na timu yake ya soka pia Betty na kundi lake la kwaya. Je timu na kundi hilo litaendelea kuwa imara au kusambaratika? Eveline ameahidi kumtembelea mwenyekiti wa tume ya uchaguzi....more10minPlay
April 05, 2011Ushiriki katika siasa - Kipindi 8 – Haki yangu ya kuchaguaEveline amepokea simu kuwa baba yake amepigwa risasi. Je hilo ni tukio la kawaida la kihalifu au ni kitisho dhidi ya kampeni zake? Hicho ndicho tutakachotaka kukifahamu wakati wakaazi wa mlimani wanapomchagua diwani wao....more11minPlay
March 29, 2011Watu wanaojali – Kipindi 07 – Mfanyakazi wa kujitolea wa Slum TVJe, hujasikia kuhusu hadithi za mafanikio, habari njema na talanta nzuri kutoka mitaa ya mabanda? Ni kwa sababu hujatazama televisheni ya Mathare. Tuwafuatilie kadri wanapotayarisha hadhithi hizi....more12minPlay
March 29, 2011Watu wanaojali – Kipindi 06 – MwanamazingiraNi vipi mtu anavyoweza kuyalinda mazingira? Sikiliza jitihada za Emily anapotoa muda na nguvu zake kuulinda msitu wa Kakamega nchini Kenya....more12minPlay
March 29, 2011Watu wanaojali – Kipindi 08 – Mwandishi habari wa ubaoniGazeti kwa mfano wa kibanda? Alfred anawapasha habari watu wa Monrovia bila kompyuta, umeme au hata dawati. Tusikilize kutoka chumba chake cha habari katika “Daily Talk”....more12minPlay
March 29, 2011Watu wanaojali – Kipindi 09 – Muhudumu wa AfyaKazi ya jamii inahitaji kujitolea. Tusikilize hadithi kamili kutoka kwa Anita Yawasese Varney kutoka Sierra Leone....more12minPlay
March 29, 2011Watu wanaojali – Kipindi 10 – Yatima kutokana na UkimwiAkiwa yatima na mwenye mzigo mzito mabegani, David amedhamiria kujikwamua kutokana na janga lililomsibu pamoja na familia yake. Ungana naye katika jitihada zake!...more12minPlay
FAQs about Noa Bongo – Siasa na Jamii:How many episodes does Noa Bongo – Siasa na Jamii have?The podcast currently has 21 episodes available.