Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote amb... more
FAQs about One Step Within Podcast:How many episodes does One Step Within Podcast have?The podcast currently has 37 episodes available.
September 01, 2022Riskmaisha mazuri yenye mafanikio makubwa yanakuja kwa kuchukua risk,jifunze kuchukua risk ili uweze ku prosperndani ya hii dunia ...more19minPlay
August 31, 2022Kua Makini kama una miaka zaidi ya 25jua umuhimu wa elimu na mawazo unayopewa kwenye maisha yako ili usije ukajutia kwanini ukuyafwata mwanzoni kipindi wakati umeshapita...more7minPlay
August 31, 2022KarmaKua makini na vitu unavyo fanya leo maana kesho vitakurudia eidha kwako au kwa familia yako.fanya mema ili kesho uweze kulipwa mema ila ukiamua kufanya mabaya kesho yako utalipwa mabaya,ijue karma vizuri zaidi ili uweze kufanya maamuzi yalio na manufaa kwako...more12minPlay
August 31, 2022Namna Ya Kuchagua UwekezajiNi muhimu kutambua kipi cha kuwekeza ili mwisho wa siku usije ukamlaumu mtu juu ya maamuzi ulio fanya, kua makini kwenye kuchagua sehemu ya kuwekeza maana kwenye kila uwekezaji kuna risk kwahiyo beba mzigo ambao unaweza ukauhimili hata ukikundondokea...more26minPlay
August 31, 2022MafanikioPata taarifa kiundani zaidi juu ya swala zima la mafanikio ili uweze kupata kujua vitu ambavyo ulikua hutambui kuhusu mafanikio...more11minPlay
August 31, 2022MeditationJijue zaidi juu ya mawazo na hisia zinazo kujia na kukupitia kila siku ya maisha yako na kuweza kuzizuia na kuweza kuwa present na kutoachia subconsious mind kuendesha maisha yako...more11minPlay
August 31, 2022Namna ya kuvuta Hisia Ya Mambo UnayohitajiJua namna ninayotumia kufannya visualization ambayo inanisaidia kuweza kupata picha nzima ya matokeo ya mbeleni na pia kuweza kuvuta hisia kana kwamba tukio linatokea sasa hivi....more6minPlay
August 31, 2022Fanya A/B testing Za Kutoshani muhimu sana kuzingatia kufanya A/B testing kila unapotengeneza tangazo maana hujui jinsi gan wateja watavyolipokea tangazo lako,ila uki fanya ab testing utajua tangazo lipi limefanya vizuri kushinda mwengine unavyotengeneza matangazo zingatia sana hiloo...more7minPlay
August 30, 2022Proximityjambo kubwa kwenye ukuaji wa mtu ni kujizungusha na watu waliokuzidi na wenye uwezo mkubwa zaidi yako ili uweze kujifunza na kukua ili kuweza kufika pale walipo fika wao...more9minPlay
August 30, 2022Namna Ya Kumuandaa Mtu kusema ndiojifunze namna ya ku apply preframe pale unapohitaji kumuomba mtu kitu au jambo lolote ili uweze kupunguza uezekano wa kuambiwa hapana...more7minPlay
FAQs about One Step Within Podcast:How many episodes does One Step Within Podcast have?The podcast currently has 37 episodes available.