Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote amb... more
FAQs about One Step Within Podcast:How many episodes does One Step Within Podcast have?The podcast currently has 37 episodes available.
August 07, 2022entitiesjifunze nini maana ya entities ili uweze kumiliki na kutumia hizo entities kwenye biashara yako kujilinda na balaa za hapa na pale kwenye kuendesha biashara...more15minPlay
August 07, 2022social pressure-one steep withinwatu wanao kuzunguka wana influence kubwa juu ya mmaisha yako ya kila siku hasa marafiki zako wa karibu.jifunze na kujua nguvu za marafiki zako na watu wanao kuzunguka kwenye hii episode...more15minPlay
August 07, 2022uvumilivuwatu wengi wameshindwa kusubiri juu ya vitu walivyo tamani juu ya maisha yao na kupelekea kukata tamaa kwa sababu kubwa tu ya kushindwa kusubiri...more7minPlay
August 07, 2022private or publicjambo ambalo lili wafanya wafanya biashara wengi kuweza kukaa chini na kufikiria kwenye kufanya maamuzi kati ya kuipeleka biashara yao public au kuibakisha tu kua private.kwenye hii episode utaweza kuelewa tofauti kati ya hayo maneno...more10minPlay
August 07, 2022msimamo-one step within podcastmsimamo ni swala ambalo watu wengi limekua shida ila kwenye podcast ya leo utajifunza mabo muhimu kuhusu msimamo ili uweze kusimama na kile unacho kiamini bila ya kuyumbishwa...more15minPlay
August 07, 2022elimu-one step within podcastpata kuweza kujua ipi ni elimu ya kujifunza na ipi itaweza kukufaa kwenye safari nzima ya maisha yako...more13minPlay
August 07, 2022cashflowJua namna ya kutumia pesa ili iweze kukufanyia kazi wewe badala ya wewe kuifanyia kazi...more9minPlay
FAQs about One Step Within Podcast:How many episodes does One Step Within Podcast have?The podcast currently has 37 episodes available.