Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Its podcast series that contain episodes on climate change and youth crisis in the coastal cities of Kenya; Mombasa, Kilifi , Kwale, Lamu, Tana River and Taita TavetaIt suggest solution based on expe... more
FAQs about PWANIFM PODCAST:How many episodes does PWANIFM PODCAST have?The podcast currently has 75 episodes available.
March 08, 2023CHUNGU CHA DAMU MICHEZONIChungu cha damu michezoni ni makala ambayo yanaangazia zaidi jinsi mzungungo wa hedhi unavyotajwa kuathiri wasichana wanaoshiriki kwenye michezo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa....more11minPlay
March 08, 2023UKAKASI WA GONJWA LA LUPUSMakala haya yanaangazia machungu wanayopitia wanaougua ugonjwa wa Lupus.Lupus ni ugonjwa ambao mfumo wa kinga ya mwili inaposhambulia tishu na viungo na hushambulia viungo vya mwili kama vile figo, mafu na nywele....more14minPlay
March 08, 2023NDUMBA SIASANIHaya ni makala ya uchunguzi ambayo yanaangazia njia tofauti za ushirikina ambazo wanasiasa Kenya hutumia ili kufanikisha ajenda zao za kisiasa na kuingia uongozini.Hapa baadhi ya wakaazi wameelezea jinsi wanasiasa hao wanavyojihusisha na ushirikina kufanikiwa siasani.Pia tumeongea na wanasiasa wa sasa na wale wa kitambo....more11minPlay
March 08, 2023NISHATI YA KIFOHuku ulimwengu ukihimizwa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kukumbatia nishati safi makala haya yanaelezea umuhimu wa kutumia nishati safi kwani nishati chafu ikiwemo kuni, mkaa, mkaa wa mawe , mafuta taa imetajwa kuathiri mazingira na afya ya binadamu.Hapa tumeongea na wataalamu ambao wameelezea kwa undani umuhimu wa nishati safi....more11minPlay
March 03, 2023MADHARA YA UVUVI HARAMULeo ni siku ya wanyamapori duniani, siku iliyotengwa na shirika la umoja ya mataifa kufuatia kuwekwa kwa Mkataba wa Biashara ya Kimataifa ya Viumbe na Mimea iliyo katika hatari ya kutoweka, CITES, mnamo mwaka 1973. Kauli mbio ya mwaka huu ikiwa ushiriano kwa ajili ya Uhifadhi wa Wanyamapori. Mwanahabari wetu Dalila Athman alizuru hifadhi ya bahari ya Kisite Mpunguti, eneo la Shimoni, kaunti ya Kwale na kutuandalia makala haya:...more13minPlay
February 01, 2023CLIMATE CHANGE S3 E7 : KERO LA PLASTIKI KWA MABADILIKO YA TABIA NCHIPlastic has been mentioned as one of the major accelerators of climate change around the world.How is it contributing to climate change in the coastal city of Mombasa and how are the communities dealing with it...more18minPlay
February 01, 2023CLIMATE CHANGE S3 E6: THE POLITICS OF GMO IN KENYAThe debate of GMO in Kenya has raised alarm after the government over turned a previous ban to import GMO products in Kenya. Are GMO products dangerous to human health and why has Kenya lifted the ban...more11minPlay
February 01, 2023CLIMATE CHANGE S3 E5 : INVASION OF UKRAINE & CLIMATE CHANGEOn this episode we look ist how the war in Ukraine has frustrated efforts to mitigate climate change effects in Kenya. It addresses what should be done in Kenya to reduce further damage....more14minPlay
February 01, 2023CLIMATE CHANGE S3 E4: CLIMATE CHANGE FINANCING IN KENYAThis episodes explores efforts being made in Kenya to finance mitigation and resilience of climate change impacts in Kenya....more10minPlay
FAQs about PWANIFM PODCAST:How many episodes does PWANIFM PODCAST have?The podcast currently has 75 episodes available.