Malezi mazuri kufaraha ya mzazi katika ukuaji wa mtoto, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi Grace Shayo na Bi Janeth Akaro na Bwana Godfrey Mkaikuta , wakizungumzia mada juu ya Malezi ya mtoto baada ya kuzaliwa hadi kufikia miaka mitano.