Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
May 07, 2026Wafahamu washirika la Watumishi wa MariaKaribu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania.Mwezeshaji ni Padre Deodatus Kagashe Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu.Mada ni Shirika la Watumishi wa MariaMtangazaji ni Joyce Jonatus L'articolo Wafahamu washirika la Watumishi wa Maria proviene da Radio Maria....more54minPlay
May 06, 2026Mfungo wa kwaresimaKaribu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania.Mwezeshaji ni Mhasham Lazarus Vitalis Msimbe SDS, Askofu wa Jimbo la Morogoro. Mada ni “Mfungo wa kwaresima.”Mtangazaji ni Happiness Mlewa L'articolo Mfungo wa kwaresima proviene da Radio Maria....more54minPlay
May 06, 2026Mwaliko wa kufanya tobaKaribu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania.Mwezeshaji ni Padre Clement Kihiyo , Katibu Mtendaji idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Mada ni “Mwaliko wa kufanya toba”Mtangazaji ni Happiness Mlewa L'articolo Mwaliko wa kufanya toba proviene da Radio Maria....more44minPlay
April 28, 2026LIFAHAMU JUMA LA MIITO MITAKATIFU KATIKA KANISAKaribu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania.Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu -Kagera, ambaye amefafanua kuhusu “Juma la Miito Mitakatifu na wito wa Baba Mtakatifu Leo XIV katika kuombea miito.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo LIFAHAMU JUMA LA MIITO MITAKATIFU KATIKA KANISA proviene da Radio Maria....more59minPlay
April 28, 2026UNDANI WA MIAKA 40 HOSPITALI YA KARDINALI RUGAMBWAKaribu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “Maadhimisho ya miaka 40 ya Hospitali ya Kardinali Rugambwa ya Mkoani Dar es salaam”.Mwezeshaji wa Kipindi hiki ni Mkurugenzi na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa akiwa sambamba na watumishi wa hospitali hiyo.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo UNDANI WA MIAKA 40 HOSPITALI YA KARDINALI RUGAMBWA proviene da Radio Maria....more51minPlay
April 28, 2026UNAJUA KUWA MITANDAO YA KIJAMII NI FURSA YA AJIRA..?Karibu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “Kampeni ya Fursa Sana” inayoratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili uizfahamu fursa zinazopatikana kwenye mitandao ya kijamii.Wawezeshaji wa Kipindi hiki ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi kutoka TCRA Bi. Herieth Shija pamoja na Mhandisi Mohamed Bokko pia kutoka TCRA.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo UNAJUA KUWA MITANDAO YA KIJAMII NI FURSA YA AJIRA..? proviene da Radio Maria....more51minPlay
April 28, 2026FAHAMU UMUHIMU WA USHAURI WA KISAIKOLOJIAKaribu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “umuhimu wa huduma ya ushauri wa Kisaikolojia”Mwezeshaji wa kipindi hiki ni Mtaalamu wa Saikolojia kutoka Kituo cha Tiba na Utengamao cha Anthonia Verna Kawe Mkoani Dar es salaam Bw. Asadi Mwengwa.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo FAHAMU UMUHIMU WA USHAURI WA KISAIKOLOJIA proviene da Radio Maria....more43minPlay
February 23, 2026Je nadhiri maana yake ni nini?Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, swali la msikilizaji Je nadhiri maana yake ni nini?L'articolo Je nadhiri maana yake ni nini? proviene da Radio Maria....more30minPlay
February 23, 2026Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu Ya Mtakatifu Augustino Jimbo Kuu La Songea, akijibu swali la msikilizaji Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani?L'articolo Dhambi ya ulimwengu ni dhambi gani? proviene da Radio Maria....more31minPlay
February 23, 2026Tofauti iliypo kati ya majini mapepo, majini na shetani hususani katika Agano jipya?Karibu katika kipindi cha maswali Yahusuyo Imani, swali la msikilizaji tofauti iliyopo kati ya majini mapepo na shetani hususani katika Agano jipya?L'articolo Tofauti iliypo kati ya majini mapepo, majini na shetani hususani katika Agano jipya? proviene da Radio Maria....more30minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.