Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi Witness Joachim na Bwana , Bi Janeth Akaro na Godfrey Mkaikuta , wakizungumzia mada juu ya Hatua zakukua mtoto.