Karibu usikilize sehemu ya kwanza ya utangulizi wa Kipindi kipya cha IMANI YETU kinachokujia kila siku ya Ijumaa Saa 12:30 jioni, ambapo katika sehemu hii ya kwanza, Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo Cha Kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma, amegusia kwa ujumla Sakramenti za Kanisa Katoliki.