Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
February 10, 2024Je, wewe ni mzazi wa ubatizo? ufahamu wajibu wako.Karibu katika mwendelezo wa sehemu ya Tano ya Kipindi cha IMANI YETU Msikilizaji, ambacho hukujia kila siku ya Ijumaa Saa 12:30 jioni hapa Radio Maria Tanzania-Sauti ya Kikristo Nyumbani mwako.Kipindi cha leo ni tamati ya mafundisho juu ya Sakramenti ya ubatizo Mtakatifu kama yanavyoletwa kwako na Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo cha kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Je, wewe ni mzazi wa ubatizo? ufahamu wajibu wako. proviene da Radio Maria....more26minPlay
February 10, 2024Je, wafahamu kuwa kubatizwa ni kama kuumbwa upya.?Karibu Msikilizaji katika mwendelezo wa sehemu ya Nne ya Kipindi cha IMANI YETU ambacho hukujia kila siku ya Ijumaa Saa 12:30 jioni hapa Radio Maria Tanzania-Sauti ya Kikristo Nyumbani mwako.Ni mwendelezo wa mafundisho juu ya Sakramenti ya ubatizo Mtakatifu kama yanavyoletwa kwako na Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo cha kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Je, wafahamu kuwa kubatizwa ni kama kuumbwa upya.? proviene da Radio Maria....more29minPlay
February 10, 2024Zifahamu namna tatu za kuadhimisha Sakramenti ya Ubatizo.Karibu Msikilizaji katika Kipindi cha IMANI YETU ambacho hukujia kila siku ya Ijumaa Saa 12:30 jioni hapa hapa Radio Maria Tanzania-Sauti ya Kikristo Nyumbani mwako.Katika Kipindi cha leo sehemu ya tatu, mwezeshaji Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo cha kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma, anaanza kufundisha juu ya Sakramenti ya ubatizo Mtakatifu.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Zifahamu namna tatu za kuadhimisha Sakramenti ya Ubatizo. proviene da Radio Maria....more28minPlay
February 10, 2024Ufahamu uzuri na upekee wa imani yetu Katoliki.Karibu tena msikilizaji katika Kipindi chetu kizuri cha IMANI YETU ambacho hukujia kila siku ya Ijumaa Saa 12:30 jioni hapa hapa Radio Maria Tanzania.Katika Kipindi cha leo, mwezeshaji Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo cha kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma, anakamilisha sehemu ya pili ya utangulizi kuhusu mada za imani yetu.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Ufahamu uzuri na upekee wa imani yetu Katoliki. proviene da Radio Maria....more26minPlay
February 10, 2024Ufahamu uzuri na upekee wa Imani yetu Katoliki.Karibu usikilize Kipindi kipya cha IMANI YETU kama kinavyoletwa kwako na Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo cha kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma.Katika Kipindi hiki ambacho kinaruka hewani kila siku ya Ijumaa Saa 12:30 jioni, utasikiliza utangulizi wa awali kuhusu yaliyomo kwenye imani yetu.Mtangzaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Ufahamu uzuri na upekee wa Imani yetu Katoliki. proviene da Radio Maria....more28minPlay
February 09, 2024Fahamu namna Sakramenti saba na zinavyo adhimishwa ndani ya Kanisa Katoliki.Karibu katika kipindi cha ijuwe Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania ambapo Mwezeshaji wetu Padri Dkt. Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji Idara ya Liturujia Baraza la Maskofu Tanzania, (TEC) Anafafanua juu ya Sakramenti saba na zinavyo adhimishwa.L'articolo Fahamu namna Sakramenti saba na zinavyo adhimishwa ndani ya Kanisa Katoliki. proviene da Radio Maria....more52minPlay
February 09, 2024Fahamu maana ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara. – Karibu katika kipindi cha ijue Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania ambapo Mwezeshaji wetu Padre Dkt. Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji Idara ya Liturujia Baraza la Maskofu Tanzania, (TEC) anatuongoza kuangazia juu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara.L'articolo Fahamu maana ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara. proviene da Radio Maria....more53minPlay
February 09, 2024Je, Wafahamu Sakramenti ya Ndoa na Ubikira wa Kikristo?Karibu katika kipindi cha Ijue Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania ambapo Mwezeshaji wetu Padre Dkt. Clement Kihiyo Katibu mtendaji idala ya Liturujia Baraza la Maskofu Tanzania, Anatufundisha nini maana ya Ndoa na Ubikira wa Kikristo.L'articolo Je, Wafahamu Sakramenti ya Ndoa na Ubikira wa Kikristo? proviene da Radio Maria....more52minPlay
February 09, 2024Je, Sakramenti ya Kitubio ni nini? – Karibu katika kipindi cha Ijue Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania ambapo Mwezeshaji wetu Padre Dkt. Clement Kihiyo anatuongoza kufahamu Sakramenti ya Kitubio.L'articolo Je, Sakramenti ya Kitubio ni nini? proviene da Radio Maria....more53minPlay
February 09, 2024Je, wazifahamu sifa za Familia kuelekea kuwa Familia Takatifu?Mimi Happiness Mlewa ninakualika tena kwa mara nyingine katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambapo tuko naye Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzanaia bado tunaitazama kwa kina mada ya Familia Takatifu.L'articolo Je, wazifahamu sifa za Familia kuelekea kuwa Familia Takatifu? proviene da Radio Maria....more58minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.