Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
February 20, 2024Kwaresima – Fumbo la ukombozi wetuNa Padre Deodatus Katunzi – Mkurugenzi wa Radio Mbiu KageraL'articolo Kwaresima – Fumbo la ukombozi wetu proviene da Radio Maria....more56minPlay
February 19, 2024Askofu Minde: “Wema wa Mungu uko pamoja nasi Tubuni”Karibu ungane nami Erick Paschal katika kipindi cha Nena Nami Bwana, ambapo leo tunakwenda kusikiliza Homilia ya Mhashamu Ludovick Joseph Minde, Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi aliyoitoa katika Parokia ya Kimongoni Jimboni humo, Dominika ya Kwanza ya Kwaresima Mwaka B wa Kanisa.L'articolo Askofu Minde: “Wema wa Mungu uko pamoja nasi Tubuni” proviene da Radio Maria....more45minPlay
February 19, 2024Fahamu Maana ya Sadaka ya Malimbuko ndani ya Kanisa Katoliki.Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani leo studio tupo na Frateri Zakaria Lukasi Simkonda, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Agustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea swali la msikilizaji linalojibiwa linasema, ni maana na asili ya sadaka inayoitwa malimbuko katika kanisa katoliki?L'articolo Fahamu Maana ya Sadaka ya Malimbuko ndani ya Kanisa Katoliki. proviene da Radio Maria....more25minPlay
February 19, 2024Ni, kwanini Wakatoliki tunafunga siku Arobaini wakati wa Kwaresima?Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani tuko naye Shemasi Emmanuel Enosy Shija, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema, kwanini Wakristo Wakatoliki tunafunga siku Arobaini wakati wa Kwaresima?L'articolo Ni, kwanini Wakatoliki tunafunga siku Arobaini wakati wa Kwaresima? proviene da Radio Maria....more29minPlay
February 17, 2024Yafahamu mapaji na karama za Roho Mtakatifu.Karibu usikilize sehemu ya Saba ya Kipindi cha IMANI YETU kama kinavyoletwa kwako na Padri Wojciech Adam, Mhifadhi wa Kituo cha Kitaifa cha Hija ya Huruma ya Mungu Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma, ambapo Padri Adam anafundisha juu ya mapaji na karama za Roho Mtakatifu.Kipindi hiki Msikilizaji ni kila Ijumaa Saa 12:30 jioni, hapa hapa Radio Maria Tanzania-Sauti ya Kikristo Nyumbani mwako.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Yafahamu mapaji na karama za Roho Mtakatifu. proviene da Radio Maria....more28minPlay
February 16, 2024Je, Wafahamu juu ya Klinic ya Kiroho?Ungana na Mtangazaji Erick Paschal katika Kipindi cha Utume wa Walei, ambapo mada inayozungumziwa ni Afya ya akili Wawazeshaji ni Padre Vitalis Kasembo, Mkurungenzi wa Utume wa Walei Jimbo kuu la Dar es Salaam pamoja na Dkt. Maryrose Mtaalamu wa Afya Bora ya Akili.L'articolo Je, Wafahamu juu ya Klinic ya Kiroho? proviene da Radio Maria....more51minPlay
February 16, 2024Fahamu Historia ya Tobia pamoja na Familia yake.Karibu ungane na Padri Titus Amigu Kutoka Jimbo Kuu la Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia ambapo ni muendelezo wa Historia ya Tobia pamoja na Familia yake.L'articolo Fahamu Historia ya Tobia pamoja na Familia yake. proviene da Radio Maria....more57minPlay
February 16, 2024Ni, kwanini Wakatoliki tunapokea Mwili wakristo katika Umbo la Mkate tu?Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Samson Peter kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Agustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea swali la msikilizaji linalojibiwa linasema, kwanini wakatoliki tunapokea Mwili wakristo katika Umbo la Mkate na wakati wa Adhimisho la Misa kwenye Liturujia ya Ekaristi Takatifu Padri anasema Twaeni Mnywe wote.L'articolo Ni, kwanini Wakatoliki tunapokea Mwili wakristo katika Umbo la Mkate tu? proviene da Radio Maria....more26minPlay
February 16, 2024Fahamu Matokeo ya Rushwa wakati wa Uchanguzi.Karibu uungane nami Fredy William katika kipindi cha Elimu Jamii ambapo leo tunaungana na Ndugu Richard Samira, Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma Mkoa wa Manyara kutoka Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo leo tunaangazi matokeo ya Rushwa wakati wa Uchaguzi.L'articolo Fahamu Matokeo ya Rushwa wakati wa Uchanguzi. proviene da Radio Maria....more50minPlay
February 15, 2024Je, Dhambi zote ni sawa au zinatofautiana? Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Revocatus Ferdinand, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramihio, Jimbo kuu la Songea swali la msikilizaji linalojibiwa linasema Dhambi zote ni sawa au zinatofautiana? L'articolo Je, Dhambi zote ni sawa au zinatofautiana? proviene da Radio Maria....more22minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.