Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Felix Ulindula Kilasile, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Agustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea swali linalojibiwa linasema, kunatofauti gani kati ya haya Maneno Agano, Injili, Mahubiri ?
L'articolo Je, wajuwa utofauti katika ya Agano, Injili, Mahubiri ? proviene da Radio Maria.